elru87tYGBGEm Exclusive Mtangazaji wa Kipindi cha LaviDavi ya Wasafi FM Divathebawse Abadili Dini - EDUSPORTSTZ

Latest

Exclusive Mtangazaji wa Kipindi cha LaviDavi ya Wasafi FM Divathebawse Abadili Dini


Exclusive mtangazaji wa kipindi cha LaviDavi ya Wasafi FM @divathebawse amefunguka kuhusu kubadili dini kutoka kuwa mkristo na kuwa muislam kwa ajili ya mpenzi/ mume wake.

Kupitia exclusive interview aliyofanya nasi #Diva amefunguka kuwa amekua akivutiwa na dini hiyo tangu alipokuwa mtoto huku akieleza kuwa mwaka uliopita aliamua kumfuata mpenzi /mume wake (muislam) ambae ameeleza kumpenda sana na kuvutiwa na namna ambavyo amekua muumini wa dini hiyo.

“Jina langu ni lile lile Diva, lakini Mwisho wa siku Mimi sio Mkristo tena kwa muda mrefu sana ni mwaka sasa .... Nafurahia uislamu Naupenda Pia”

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz