Baba Levo Asanua Jipya "Ile Voice Note Aliyovujisha Rayvanny Sio Mpya WCB, Alishaivujisha Muda Kwa Viongozi Kumwaribia" - EDUSPORTSTZ

Latest

Baba Levo Asanua Jipya "Ile Voice Note Aliyovujisha Rayvanny Sio Mpya WCB, Alishaivujisha Muda Kwa Viongozi Kumwaribia"


EXCLUSIVE:Msanii wa muziki wa bongofleva @officialbabalevo amemchana @harmonize_tz kuvujisha sauti ya @rayvanny

"Yule ni muongo ile sauti ameivujisha zamani sana kwa uongozi wa WCB na akategemea @rayvanny ataharibikiwa na hakuharibikiwa chochote,asiseme kama ndiyo ameitoa juzi,alishaivujisha ikafika WCB ikasikilizwa na haina madhara yoyote" Babalevo

Kama Umependa Habari Hizi Download APP ya UDAKU SPECIAL Kwenye Simu Yako Kwa Kubonyeza >>HAPA

"Hajaaribu tena ndio kabisa big boss Diamond Platnumz Kamuongezea hela ameenda kufanya Colabo kubwa za Dunia na Kina Justin Bierber huko" Baba LevoDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz