Aristotee Atua na Helicopter Kanisani Kufunga Ndoa - EDUSPORTSTZ

Latest

Aristotee Atua na Helicopter Kanisani Kufunga NdoaMzee wa Vikao @aristotee ameamua kuipa uzito wa aina yake siku yake hii kubwa na muhimu ya Harusi , na akaona hawezi kwenda kanisani kufunga pingu za maisha kikawaida 🤗.

Huu ndio usafiri aliotua nao hapa Kanisa la Elishadai Temple Church , Boko . | #AristoteeAndEmmyWedding
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz