Wasanii wa Tanznaia waliotajwa tuzo za AFRIMMA 2021 - EDUSPORTSTZ

Latest

Wasanii wa Tanznaia waliotajwa tuzo za AFRIMMA 2021




Kama tunavyofahamu kila mwaka tuzo mbalimbali hutolewa barani Afrika na pia duniani kote kupitia mkampuni na majarida tofautofauti mfano, AFRIMMA, AFRIMA, SOUNDCITY, MTV, MTV BAS BET  na nyinginezo nyingi.



Siku ya jana zilitangazwa rasmi tuzo za AFRIMMA 2021 ambapo vimetolewa Kipengele vingi sana na miongoni mwa vipengele ambavyo watu walikuw awakivisubiria sana na vile ambavyo wataonekana au watawekwa wasanii kutoka Tanzania.

Miongoni mwa wasanii waliopo kwenye baadhi ya vipengele katika tuzo hizi kutoka Tanzania ni Alikiba, Diamond Platnumz, Nandy, Zuchu, Rosa Ree, pia maproducer na madirector kutpoka Tanzania mfano, Director Kenny, Producers S2kizzy na Kimambo.

Katika kipengele kikubwa mabcho kinasubiriwa sana ni kile Cha “Best Male East Africa”  msanii bora wa kiume kutoka Afrika amshariki ambapo wameshindanishwa  @diamondplatnumz, na @officialalikiba, wanaotoka Tanzania huku mataifa mengine ya Afrika amshariki wakiwemo . Eddy Kenzo Uganda, Otile Brown Kenya na Khalgraph Jones Kenya huku, The Ben kutoka Rwanda na Gildo Kasa wa Ethiopia.

Lakini pia Kwa Mara Nyingine Tena @officialzuchu Pamoja na #TheAfricanPrincess @officialnandy Wanakutana Katika kipengele kimoja Tuzo Za @afrimma 2021 ambapo Wamekutana Katika Kipengele Kimoja Cha “Msanii Bora Wa Kike Afrika Mashariki” (BEST FEMALE EAST AFRICA)

Katika Kipengele Cha “Msanii Bora Wa Mwaka Afrika MASHARIKI  Waliotajwa ni.


AFRIMMA VIDEO OF THE YEAR⬇


MUSIC PRODUCER OF THE YEAR⬇ 


BEST AFRICAN DANCER⬇


BEST FEMALE RAP ACT - Rosa Ree


BEST VIDEO DIRECTOR⬇ Director Kenny



ARTIST OF THE YEAR⬇ - Diamond Platnumz



BEST MALE EAST Africa - Diamond Platnumz



BEST LIVE ACT⬇ - Diamond Platnumz



Mbali na vipengeel hivyo ambavyo wapo wasanii kutoka Tanzania lakini pia kuna vipengele katika mataifa mbalimbali.






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz