Tommy Flavour ajibu ishu ya kuiba wimbo - EDUSPORTSTZ

Latest

Tommy Flavour ajibu ishu ya kuiba wimbo
Kushoto ni msanii Tommy Flavour, kulia ni Liah
Kutoka Kings Music Records msanii Tommy Flavour amekanusha taarifa za kuiba wimbo wa sitaki tena inayopatikana kwenye Album 'Only One King' ya Alikiba kwa kusema haijawahi kutokea kumdhulumu mtu wimbo wake.
Siku ya Ijumaa msanii wa Mesen Selekta Liah alidai haki zake za kukopiwa verse na melody zinazopatikana kwenye wimbo wake wa doa aliyoitoa miaka miwili iliyopita kutumiwa na Alikiba ambapo muandishi wa hiyo ngoma ni Tommy Flavour.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz