Shilole Ampiga Dongo Muna Love Kiaina "Usishindane na Watoto Wadogo Wenye Matumbo Madogo Umesha Zeeka" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Shilole Ampiga Dongo Muna Love Kiaina "Usishindane na Watoto Wadogo Wenye Matumbo Madogo Umesha Zeeka"


"Wazungu mliosoma mtusaidie jamani alichosema huyu dada.

Wanawake wenzangu tujikubali na Mungu alivyotuumba.Kuna muda itabidi tukubali kuwa umri umetuacha na tukubali matokeo.Mkitaka kushindana na hawa watoto wenye vitumbo vidogo tutakufa kizembe

Maana naona safari za uturuki zimekuwa nyingi sana ndugu zangu acheni kuiga Mastar wa nje hao ni matajiri nyie wenzangu chai ya rangi asubuhi na kitumbua inahusu.

Vibonge wenzangu @shamsaford tujikubali"-Ameandika @officialshilole

Una maoni gani?
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz