Rayvanny Aache Ushamba, Hatakiwi Kumsomesha Paula - EDUSPORTSTZ

Latest

Rayvanny Aache Ushamba, Hatakiwi Kumsomesha Paula


Rayvanny hajasoma Chuo na haelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndio hivyo inabidi aelewe kwamba mchumba hasomeshwi. P funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula, kwasababu dogo anadharau. Hizo pesa atakazokuwa anatumiwa na Rayvanny, vibwana vya chuo vitazifaidi.

Kwanini amtolee ada harafu amsomeshe nje, alitakiwa kumsomesha hapa hapa, ada analipa na matumizi anampa pia, anakaa kwake, anatokea kwake, anampa Gari na anamcontrol, Sasa anaenda kumsomesha msichana long distance trade, ataangukia katika mikono ya mahandsome na watatumia pesa za rayvanny bure.

Kiukweli napata wasiwasi, hawa watu walikuwa hawapendani hata kidogo, kizembezembe tu eti umruhusu demu wako akasome nje.

AJIRA: Nafasi Mpya za Kazi Serikalini, NGOs na Makampuni Binafsi.....Bofya Hapa kutuma maombi

Ila ni faida pia, Hivi Sasa fahyma ataweza pata amani.

Ila Rayvanny akumbuke tu bongo vyuo vipo vingi, asingeruhusu Paula akasome nje watamtafuna.

By @Hopetygatz





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz