NYARAKA ZA PANDORA: Ukweli Usioujua; Utajiri uliofichwa wa viongozi wakubwa wa kiserikali duniani - EDUSPORTSTZ

Latest

NYARAKA ZA PANDORA: Ukweli Usioujua; Utajiri uliofichwa wa viongozi wakubwa wa kiserikali duniani


Kwa ufupi nini historia ya Nyaraka ya Pandora ambayo kuchapishwa kwake kumeleta vurumai na sintofahamu kote duniani. 

Nyaraka hii inaibua maswali mengi na mishangao kwa watu na moja kwa moja imewataja viongozi wa kiserikali na makampuni makubwa ambayo kwa mujibu wa uchunguzi mengi yao yanamilikiwa na viongozi hawa huku nyaraka hii ikianika wazi utajiri wa accounts za nje za maafisa na viongozi mbalimbali.

VIDEO:
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz