Mchungaji Amuua Mkewe Aliyechepuka na Kumwambukiza Ukimwi - EDUSPORTSTZ

Latest

Mchungaji Amuua Mkewe Aliyechepuka na Kumwambukiza Ukimwi
MCHUNGAJI George Abisa kutoka katika Kaunti ya Nyamira, huko nchini Kenya anadaiwa kumuua mkewe kwa kisu baada ya kugundua alimuambukiza virusi vya UKIMWI.

Baada kutekeleza tukio hilo la mauaji aliandika barua iliyokuwa na ujumbe ambao ulieleza kuwa mkewe alikuwa amemuambukiza VVU/UKIMWI kufuatia kuchepuka na mwanasiasa wa eneo hilo kisha na yeye kujiua.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz