Masanja Mkandamizaji Ongoza List ya Wasanii Wenye Vipaji Vingi Tofauti


Tanzania kuna Wasanii wanavipaji vingi, ila Mimi naona Masanja Mkandamizaji ndio msanii mwenye vipaji vingi katika upande wa sanaa na kajitahidi kuvitumia kadri ya uwezo wake japo hajafanya kama inavyotakiwa kufanywa.

Masanja kafanya haya:-

o Kaimba Nyimbo za bongo fleva
o Kaimba nyimbo za injili
o Kaigiza Comedy
o Kaigiza muvi ambazo ni serious
o Kafanya standing up comedy
o Ni presenter mzuri
o Anaimba Rap (Kuchana)
o Ni dancer mzuri
o Ni mwinjilistii/muhubiri/Pastor

MTAG MSHIKAJI WAKO AMBAYE UNAHISI ANAVIPAJI VINGI SANA.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post