Maneno Kuntu ya Ommy Dimpoz "Nikimfumania Kiba na Mke Wangu Namsamehe" - EDUSPORTSTZ

Latest

Maneno Kuntu ya Ommy Dimpoz "Nikimfumania Kiba na Mke Wangu Namsamehe"
Mr poz kwa poz Ommy Dimpoz ameshtua watu kwa kauli yake akimzungumzia Alikiba baada ya kusema hata akimkuta na mkewe atamsamehe kutokana na wema aliomfanyia.


Ommy Dimpoz amesema hilo wakati wa 'Album Listening Party' ya Alikiba iitwayo 'The Only One King' iliyowakutanisha mastaa kadhaa wa Bongo na nje ya nchi waliopata mialiko ya kuhudhuria kusikiliza ngoma zinazopatikana kwenye Album hiyo.

Ommy Dimpoz anasema anaukumbuka wema wa Alikiba kwa kumsaidia na kuwa naye karibu wakati anasumbuliwa na matatizo ya kiafya.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz