Kumekucha..Mwanamuziki Linex na Lulu Diva Wanapika na Kupakua? - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha..Mwanamuziki Linex na Lulu Diva Wanapika na Kupakua?


Mwimbaji wa Bongo Fleva, Linex ametoa ujumbe ulioibua hisia mseto kuhusu ukaribu wake na Lulu Diva.

"Kokote ukimuona Lulu Diva jua ana Kaka yake Mjeda, so make sure una respect mdogo wake mjeda halafu staki maswali wewe jua tu kwamba ana kaka yake mjeda tena mkimuona sehemu muwe mnaniambia kaka yake " amesema Linex.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz