Kiongozi wa Kijeshi wa Guinea Aapishwa Kuwa Rais wa Mpito - EDUSPORTSTZ

Latest

Kiongozi wa Kijeshi wa Guinea Aapishwa Kuwa Rais wa Mpito
Kiongozi wa kijeshi nchini Guinea Kanali Mamady Doumbouya ameapishwa kuwa Rais wa mpito baada ya kuondolewa kwa Alpha CondΓ©.

Kiongozi huyu wa jeshi mwenye umri wa miaka , 41, anakuwa kiongozi wa pili mdogo barani Afrika ,akifuatiwa na rais wa Mali, Assimi GoΓ―ta,mwenye umri wa miaka 38, ambaye pia aliongoza mapinduzi ya kumuondoa Rais Keita.

Anatarajiwa kuunda serikali katika wiki chache zijazo.

Baada ya mapinduzi ya Guinea Kanali Doumbouya alisema askari wake wamechukua uongozi na walitaka kumaliza ufisadi, ukiukwaji wa haki za binadamu na usimamizi mbaya uliokithiri nchini humo.

Rais CondΓ© alichaguliwa katika uchaguzi uliokumbwa na utata kuongoza kwa muhula wa tatu licha ya maandamano ya ghasia mwaka jana.

Umoja wa Afrika na Ecowas wameiwekea vizuizi Guinea, wakilitaka taifa hilo lifuate katiba ndani ya miezi sita.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz