Irene Uwoya “Usimfanye Mwanaume Wako Ndiye Kitega Uchumi Chako, Jiheshimu Dada…” - EDUSPORTSTZ

Latest

Irene Uwoya “Usimfanye Mwanaume Wako Ndiye Kitega Uchumi Chako, Jiheshimu Dada…”
IRENE Uwoya; wengine humuita Ophrah kwa sababu ya Filamu ya Ophrah aliyotisha mno ndani yake akiwa na mastaa wa Bongo Movies, marehemu Kanumba na Ray.

Irene amekuwa akila bata kiasi cha kuwakera ile mbaya baadhi ya watu wasiopenda kumuona akila bata kiasi hicho huku chanzo cha pesa kikiwa gizani.

Amekuwa akitoa kauli kama; “Jumapili siyo siku ya kufua, nenda ukatafute pesa…”

Kauli nyingine ambapo kwa sasa ipo ‘hoti’ ile mbaya ambayo imeibua mjadala kama wote, hasa kwa baadhi ya wanawake wanaotegemea wanaume, Irene anasema; “Usimfanye mwanaume wako ndiye kitega uchumi chako, jiheshimu dada…”

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz