Idris Sultan "Ali Kiba Hatabiriki Alikuwa Ananiuzi Kutoa NYIMBO Moja Moja, Kesho Unaweza Sikia Anaoa Mke wa Saba" - EDUSPORTSTZ

Latest

Idris Sultan "Ali Kiba Hatabiriki Alikuwa Ananiuzi Kutoa NYIMBO Moja Moja, Kesho Unaweza Sikia Anaoa Mke wa Saba"

 


Ni utani wa mchekeshaji Idris Sultan kwa msanii Alikiba baada ya kusema alikuwa anakera tabia yake ya kuachia ngoma moja kwa kipindi cha muda mrefu, pia amesema msanii huyo haeleweki na wala huwezi mtabiria kwani anaweza akasema kesho anataka kuoa mke wa saba....

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz