Haya Sasa Makubwa..Wanawake Marekani Waandamana Kudai Ruhusa ya Kuchoropoa Mimba - EDUSPORTSTZ

Latest

Haya Sasa Makubwa..Wanawake Marekani Waandamana Kudai Ruhusa ya Kuchoropoa Mimba


Makundi ya waandamanaji wanawake katika majimbo zaidi ya 50 nchini Marekani wameandamana kutaka haki ya kisheria ya kuunga mkono utoaji mimba nchini humo.

Maandamano hayo yamekuja kupiga Sheria mpya inayotoa masharti juu ya utoaji wa mimba iliyopitishwa katika jimbo la Texas, ambapo wanao unga mkono haki ya utoaji mimba nchini humo wanahofu kwamba kuweka masharti kwenye utoaji wa mimba ni kurudisha nyuma haki za kikatiba.

Hataivyo anaounga mkono swala hilo wanataka mtu awe huru kutoa mimba ya umri wowote ambao mtoto hawezi kuishi, bila kuwekewa masharti yoyote ya kisheria.

✍🏾@keviiiy.iam


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz