Hasara Kubwa za Filamu za Bongo Movies Katika Jamii ya Kitanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Hasara Kubwa za Filamu za Bongo Movies Katika Jamii ya KitanzaniaKatika vitu vikubwa anavyoshukuru Barakahtheprince_ ni kuumbwa na rangi yake ambayo mara nyingi imekuwa ikibezwa na wengi akiwemo Stanbakora_ , Barakah amedai hawezi jichubua maana anapendwa akiwa na ngozi hiyo na pia wanaume weusi ni wachache dunia hii, inabidi kuwa proud na hilo.

Kingine Barakah amedai EP yake ambayo ilikuwa inatarajiwa iwe imetoke hadi muda huu, ameisogeza mbele maana aliona kuna muingiliano sana wa matukio hapa katikati lakini akiahidi kuitoa mwezi huu wa kumi na itakuwa EP kali haijawahi tokea.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz