Harmonize, Ali Kiba na Diamond Platnumz Wakizubaa Marioo Atawapiga Bao Kirahisi - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize, Ali Kiba na Diamond Platnumz Wakizubaa Marioo Atawapiga Bao Kirahisi


Mbali na Diamondplatnumz Officialalikiba na Harmonize_tz , Muimbaji Marioo_tz anaonekana yuko vizuri pia, huyu jamaa anajua mpaka anajua tena, Marioo ni mkali wa hit songs, Kitaa kinamuelewa.

Marioo anauwezo wa kuwakalisha hao miamba watatu, basi tu muda wake bado. MAMA AMINA, BIA TAMU, CHIBONGE, na Zile za kulialia INATOSHA, FOR YOU" Ni nyimbo ambazo kitaani kote zinasikilizwa, huwezi kaa siku nzima bila kusikia Mama Amina au Bia Tamu, kiukweli huyu Jamaa ni Fundi sana.

Hii Miamba mitatu Alikiba, Diamond na Harmonize ikizembea Marioo atachukua Kijiti.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz