Gigy Money Achafukwa "Baraka the Prince NAKUJUA Nje Ndani Nakuja Kumwaga Mafile yako Instagram Live" - EDUSPORTSTZ

Latest

Gigy Money Achafukwa "Baraka the Prince NAKUJUA Nje Ndani Nakuja Kumwaga Mafile yako Instagram Live"Ugomvi wa Alikiba na Shilole umeonekana kuendelea kupita na wengi,na raundi hii umehamia kwa Barakah the Prince na Gigy Money,hii imetokana na insta live ya Gigy Money baada ya kumwambia Alikiba kipaji bila nidhamu atakuwa kama Barakah.


Barakah ametumia ukurasa wake wa Instagram kumchana Gigy Money kwa alichokifanya, huku akitumia kauli nyingi za dharau na kuambatanisha picha zake za nusu utupu. Kwa upande wa Gigy Money amecomment na kumuahidi Barakah kuwa atamtolea mafile yake maana anamjua nje ndani.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz