Diamond Platnumz Amechaguliwa Kuwania Tuzo Kubwa Duniani za MTV EMA - EDUSPORTSTZ

Latest

Diamond Platnumz Amechaguliwa Kuwania Tuzo Kubwa Duniani za MTV EMA


Nyota wa muziki wa Bongoflava na Tanzania, Diamond Platnumz @diamondplatnumz amechaguliwa kuwania tuzo kubwa Duniani za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) 2021.

Diamomd atachuana na wasanii wengine wanne kutoka Afrika, Tems (Nigeria), Wizkid (Nigeria), Focalistic (Afrika Kusini) na Amaarae (Ghana) kuwania tuzo katika kipengele cha Best African Act.


Washindi watatuzwa katika hafla itakayoandaliwa Jijini Budapest, Hungary, November 14, 2021.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz