Diamond, Focalistic, Burna boy na Fally Ipupa kipengele kimoja, Best live act - EDUSPORTSTZ

Latest

Diamond, Focalistic, Burna boy na Fally Ipupa kipengele kimoja, Best live act
Kama tunavyofahamu kila mwaka tuzo mbalimbali hutolewa barani Afrika na pia duniani kote kupitia mkampuni na majarida tofautofauti mfano, AFRIMMA, AFRIMA, SOUNDCITY, MTV, MTV BAS BET na nyinginezo nyingi.Siku ya jana zilitangazwa rasmi tuzo za AFRIMMA 2021 ambapo vimetolewa Kipengele vingi sana na miongoni mwa vipengele ambavyo watu walikuw awakivisubiria sana na vile ambavyo wataonekana au watawekwa wasanii kutoka Tanzania.

Katika kipengele ambacho Diamond Platnumz yupo pia ni kile cha Best Live Act akichuana na Burna boy, Fally Ipupa, Yemi Alade,  Sauti Sol,na Mr Flavour.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz