Chidi Mapenzi "Uchebe Si Lolote Anatafuta Followers Instagram" - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Chidi Mapenzi "Uchebe Si Lolote Anatafuta Followers Instagram"

 


Mume wa zamani wa msanii wa filamu Shamsa Ford, Chidi Mapenzi amempa makavu Uchebe kwa kusema anafanya matukio ili kuongeza followers kwenye mtandao wa Instagram.

Chidi Mapenzi ameongeza kusema Uchebe ni mtu wa dini lakini nia yake ni kufikisha followers milioni 2 ndio maana anafanya matukio mengi ili kuhakikisha anawapata.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz