Chawa Lukamba Amjibu Wakazi "Kuwa CHAWA Kwa mtu ANAENISAIDIA Sio Mbaya" - EDUSPORTSTZ

Latest

Chawa Lukamba Amjibu Wakazi "Kuwa CHAWA Kwa mtu ANAENISAIDIA Sio Mbaya"
Kwenye mitandao ya kijamii kumetokea na kushambuliana baina ya timu Wasafi na timu Konde, hii ikitokana na show zinazoendelea huko Marekani ambapo @diamondplatnumz na @harmonize_tz (Marais wa hizi timu) wanafanya Music Tour. Mijadala mikubwa ikiwa ni nani amejaza show kuliko mwenzie,show imefanyika venue gani n.k.

Ishu hii imemuibua rapa @wakazi akisikitishwa hasa kuona watu wa karibu wa wasanii hawa ndio wamekuwa mstari wa mbele kuleta mgawanyiko,akitolea mfano kwa wanaijeria ambao licha ya kila mmoja kuwa na jina ila kwenye ishu kama hizi (shows za nje) husapotiana.

Inaonekana ishu hii pia,Lukamba (mpiga picha wa Diamond )ameichukulia personal na kuamua kutumia sehemu ya Insta story kujibu hoja ya Wakazi.

Hilichoandika Lukamba👉


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz