Amber Lulu ataka watoto watano kwa baba tofauti - EDUSPORTSTZ

Latest

Amber Lulu ataka watoto watano kwa baba tofauti

 


Msanii Amber Lulu amefunguka kwamba lengo lake ni kupata watoto watano kwa baba tofauti kwa sababu hawezi kukaa na baba mmoja huenda akifariki atapata tabu akiwa peke yake.

Amber Lulu ambaye kwa sasa ana mtoto mmoja na msanii Emba Bosion ameshea hilo kupitia EATV & EA Radio Digital baada ya kuulizwa mipango yake kuhusu watoto anaotaka kuwa nao.

Aidha amemtaja msanii Juma Jux kama ndio mtu anayetamani kupata naye mtoto kwa sababu ana akili, yupo smart na atamuongoza vyema pia amekuwa akimfuatilia msanii huyo kwa muda mrefu.

 

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz