Wawili wateuliwa kugombea ubunge CCM - EDUSPORTSTZ

Latest

Wawili wateuliwa kugombea ubunge CCM
 
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imewateua Emanuel Cherehani na Mbarouk Amour Habib kuwa wagombea ubunge katika majimbo ya Ushetu mkoani Shinyanga na Konde mkoa wa Kaskazini Pemba.

Uteuzi huo umefanyika wakati wa kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma,  na kuongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Rais Samia Suluhu Hassan.

Cherehani ameteuliwa kugombea ubunge katika jimbo la Ushetu kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa.

Kwa upande wake Mbarouk Amour Habib ameteuliwa kugombea ubunge katika jimbo la Konde baada ya aliyekuwa mbunge mteule wa jimbo hilo kujiuzulu.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz