Wanaigeria Waendelea Kushika Dunia.. Wizkid Auza Tiketi Elfu 20 Ndani ya Dakika 2 London, Uwanja wa 02 Arena - EDUSPORTSTZ

Latest

Wanaigeria Waendelea Kushika Dunia.. Wizkid Auza Tiketi Elfu 20 Ndani ya Dakika 2 London, Uwanja wa 02 Arena

Ukisikia kigugumizi cha uandishi ndicho kilichompata msanii @wizkidayo baada ya kumchukua dakika 3 hasijue aandike nini kwa hii love ya mashabiki baada ya tarehe zote za show zake za MADE IN LAGOS TOUR pale The 02 Arena nchini Uingereza zinazotarajiwa kufanyika 28th & 29 November na 1st December mwaka huu, tiketi zake kumalizika ndani ya muda mfupi baada ya kutangazwa.

Ukumbuke ukumbi huo wenye hadhi ya juu nchini uingereza unaingiza watu elfu 20 pekee.

🔹28th November tiketi zilimalizika ndani ya dakika 12

🔹29th November tiketi zimemalizika ndani ya dakika 2

🔹1st Dec,tarehe iliyoongezwa sababu ya uhitaji,tiketi zimemalizika ndani ya dakika 35.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz