Wafahamu Waigizaji Waliolipwa Pesa Ndefu Zaidi Duniani Kupitia Filamu Walizoigiza - EDUSPORTSTZ

Latest

Wafahamu Waigizaji Waliolipwa Pesa Ndefu Zaidi Duniani Kupitia Filamu Walizoigiza


Wafahamu Waigizaji Waliolipwa Pesa Ndefu Zaidi Duniani 🌍 Kupitia Filamu Walizoigiza

List Hii Imeonekana Kuongozwa na Muigizaji #DanielCraig Anayefahamika Kwa Kucheza Filamu 🎬 Za #JamesBond, Ambapo Amelipwa $100 Million Ambazo Ni Sawa Na Takribani (TSH.BILIONI 231) Kupitia Filamu Ya #KNIVESOUT

#DanielCraig Amefuatiwa na @therock Ambaye Nae Amelipwa $50M Ambazo Ni Takribani (TSH.BILIONI 115) Kupitia Filamu Ya #REDONE, Huku Nafasi Ya 3 Ikishikwa na Mkali @willsmith Akilipwa $40 Million (TSH.BILIONI 92.6) Kwenye Filamu Aliyoigiza Ya #KINGRICHARD

HII HAPA ORODHA YA WAIGIZAJI 10 WALIOLIPWA PESA NDEFU DUNIANI KUPITIA FILAMU WALIZOIGIZA 

1:DANIEL CRAIG πŸ‡¬πŸ‡§ - $100M (TSH.BILIONI 231) - Knives Out

2:THE ROCK πŸ‡ΊπŸ‡² - $50M (TSH.BILIONI 115) - Red One

3:WILL SMITH πŸ‡ΊπŸ‡² - $40M (TSH.BILIONI 92.6) - King Richard

4:D.WASHINGTON πŸ‡ΊπŸ‡² - $40M (TSH.BILION 92.6) - The Little Things

5:LEONARDO DICAPRIO πŸ‡ΊπŸ‡² - $30M (TSH.BILIONI 69.4) - Don't Look Up

6:MARK WAHLBERG πŸ‡ΊπŸ‡² - $30M (TSH.BILIONI 69.4) - Spenser Confidental

7:JULIA ROBERTS πŸ‡ΊπŸ‡² - $25M (TSH.BILIONI 57.8) - Leave The World Behind

8:JENNIFER LAWRENCE πŸ‡ΊπŸ‡² - $25M (TSH.BILIONI 57.8) - Don't Look Up

9:SANDRA BULLOCK πŸ‡ΊπŸ‡² - $20M (TSH.BILIONI 46.3) - The Lost City Of D

10:RYAN GOSLING πŸ‡¨πŸ‡¦ - $20M (TSH.BILIONI 46.3) - The Gray Man

Je, Kwa Hapa Bongo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Unadhani Ni Muigizaji Gani Analipwa Pesa Ndefu Kwenye Filamu Anazoigiza na Itakuwa Shingapi ? πŸ˜ƒ

Cc.✍@officialtriggah
  
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz