elru87tYGBGEm Tanzia: Mdogo wa Hans Poppe Anaeitwa Eddy Hans Poppe Afariki Dunia - EDUSPORTSTZ

Latest

Tanzia: Mdogo wa Hans Poppe Anaeitwa Eddy Hans Poppe Afariki Dunia
Mdogo wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe (pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.

Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz