Rapcha "P Fank Msamehe Paula Kajala" - EDUSPORTSTZ

Latest

Rapcha "P Fank Msamehe Paula Kajala"Huenda Rapper kutoka BongoRecords Rapcha ametumia wimbo wake wa Lissa II’ kutoa nasaha kwa producer PFunkyMajani kumsamehe mtoto wake Paulah Kajala kufutia kutokua na maelewano mazuri katika siku za hivi karibuni.

Sasa ukisikiliza wimbo huo wa Lissa II’ kwenye dakika ya kwanza, kuanzia sekunde ya 33' mpaka ya 38’ rapcha anasikika akichana “mwambie father atalipwa na mola ,arudishe moyo nyuma amsamehe paula,”

Katika kipindi cha hivi karibuni producer PFunkyMajani alieleza kukasirishwa na tabia ya bintie huyo ambae ni kwa sasa ni mpenzi wa Mwanamuziki Rayvanny, kufutia kumtamkia maneno yasiyo mpendeza kama mzazi.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz