Nay wa Mitego Azishukia Media "Yaani Siku Hizi Mwanamke Akiwa na Makalio Makubwa Anahojiwa na Kila Media Mnaacha Mambo ya Msingi" - EDUSPORTSTZ

Latest

Nay wa Mitego Azishukia Media "Yaani Siku Hizi Mwanamke Akiwa na Makalio Makubwa Anahojiwa na Kila Media Mnaacha Mambo ya Msingi"



Nay anasema Media sasa sinajali wanawake wenye makalio makubwa sio content.
POVU limekuja baada ya Mrembo Aggness kudai anatumia laki tano matumizi ya chakula kwa siku.. 

Kwani Aggy kwa mnaomjua anafanya kazi gani hasa hasa yakupata laki tano kwa siku ya kula achana na kuvaa maana hata Wabunge wenyewe hawapati hizi hela.




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz