Mwakinyo Baba Leo Amtwanga Mnamibia kwa TKO - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwakinyo Baba Leo Amtwanga Mnamibia kwa TKO
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ametetea ubingwa wa Super Welterweight baada ya kumpiga Bondia Mnamibia Julius Indogo katika Raundi ya nne tu ya mchezo kwa TKO kwenye pambano lilofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz