Muuaji wa George Floyd Sasa Kukata Rufaa Baada ya Kupewa Kifungo Cha Miaka 22 - EDUSPORTSTZ

Latest

Muuaji wa George Floyd Sasa Kukata Rufaa Baada ya Kupewa Kifungo Cha Miaka 22
Derek Chauvin aliyehukumiwa kifungo cha miaka 22.5 amedai Jaji katika Kesi hiyo alitumia vibaya nafasi yake mara kadhaa.

Mauaji ya Floyd yalisababisha maandamano makubwa kote Marekani.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz