Msanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree Amevishwa Pete ya Uchumba na Mpenzi wake, King Petrousse - EDUSPORTSTZ

Latest

Msanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree Amevishwa Pete ya Uchumba na Mpenzi wake, King PetrousseMsanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree amevishwa Pete ya uchumba na mpenzi wake, King Petrousse ambaye alimtambulisha hivi karibuni.

"Wanaona Gere πŸ˜ƒπŸ˜ƒ" Hatimaye Rapa Rosaree πŸ‘‘ Avishwa Pete Ya Uchumba ❤ na Mpenzi King Petrousse


RosaRee Ametuthibitishia Hilo Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Aki-Share Video Iliyomuonesha Akivishwa Pete Hiyo

Congratulations Rosaree & King Petrousse ❤❤


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz