Mke wa Nabii TB Joshua ateuliwa kuwa kiongozi wa kanisa la SCOAN - EDUSPORTSTZ

Latest

Mke wa Nabii TB Joshua ateuliwa kuwa kiongozi wa kanisa la SCOAN

Kanisa la Sinagogi, SCOAN limemteua mke wa TB Joshua, Nabii Evelyn Joshua kuwa kiongozi mpya wa kanisa hilo.
Kanisa limesema katika taarifa yake kwenye ukurasa wa Facebook kuwa programu nzima ya kanisa itakuwa chini ya uongozi wa Mungu kwa maelekezo ya Evely Joshua.

Kwa mujibu wa chapisho hilo, wakati ulikuwa sahihi, na wafuasi wa kanisa waliombwa wasali kwa ajili ya Utukufu wa Mungu.

Awali kulikuwa na tetesi kuhusu nani atakayeongoza kanisa baada ya mwanzilishi wa kanisa TB Joshua kuaga dunia mwezi Mei 2021.

Mabishano hayo yalisababisha kufukuzwa hivi karibuni kwa baadhi ya wafuasi wa TB Joshua kanisani.

Huduma ya TB Joshua ilitangaza kuwa mwanzilishi wa kanisa hilo na nabii mkuu wa Nigeria, Temitope Balogun Joshua amejiuzulu kwenye ukurasa wake wa Facebook, Jumamosi Juni 5, 2021.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz