Mke wa Ali Kiba "Mimi na Ali Kiba Bado Hatujaachana Nampenda Sana" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mke wa Ali Kiba "Mimi na Ali Kiba Bado Hatujaachana Nampenda Sana"Mke wa Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania (@officialalikiba ) Ambaye Sasa Anaishi Nchini Kenya Bi Amina Amefunguka kuwa Hawacha Achana na Baba Wa Mtoto wake.

"Watu Wengi Wanaongea Mengi kuhusu Ndoa Yetu Ila Hawajui tuuu Mimi Nipo Kenya Kikazi tuuu Sio Kuwa Kwangu Kenya na Yeye kuwa Tanzania Ndio Muanzishe Habari Zisozo na Ukweli Wowote Nampenda Sana Baba Wa Watoto Wangu na Tupo pamoja Nae Milele"-Amefunguka Bi Amina
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz