Mange Kimambi Atia Neno Kuhusu Interview ya Sonia Monalisa Kuvidiss Vyuo vya Bongo - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi Atia Neno Kuhusu Interview ya Sonia Monalisa Kuvidiss Vyuo vya BongoMange atia neno kuhusu intaviyuu ya Sonia Monalisa

"Wabongo, sometimes tujifunze kusikiliza kitu anachoongea mtu na kumuelewa.

Huyu mtoto hajavidharau vyuo vya bongo. Mbona kasema kabisa sababu ya kwenda nje ni kuepuka shari za walimwengu.

Which is true huyu binti kuna watu wanaweza hata kumuwinda tu hata wampige picha za uchi au wafanye nae video za I love you daddy alafu walete mitandaoni ili mradi wapate kiki. Sasa kuepuka yote hayo ni bora aende mbali huko.

Hata mimi kusema ukweli, kwa hivi nilivyo yule mwanangu angekuwa anasoma chuo bongo sidhani kama ningekuwa na amani. Yani lazma kuna watu wangemtafuta wafanye kitu ili mradi ni mtoto wa Mange. Bora huko mbali nani anamjua Mange?

Alafu pia mkumbuke huyu ni mtoto bado. Tatizo mnataka na yeye awe na ujuzi wa kujibu maswali au awe na busara kama zenu nyie vigagula. Nyie mlipokuwa age yake mlikuwa mnaongea vitu vya busara muda wote? Illibidi muipotezee na mumchukulie kama mtoto ila wabongo mnataka sasa kumbully, sijui mpoje sometimes">>>UJUMBE WA MANGE KIMAMBI
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz