elru87tYGBGEm Makubwa..Rayvanny na Paula Wala Kiapo Cha Damu - EDUSPORTSTZ

Latest

Makubwa..Rayvanny na Paula Wala Kiapo Cha DamuMsanii kutoka Lebo ya WCB na CEO wa Lebo ya NML, Rayvanny ameonekana kwenye video akila kiapo cha damu na mrembo Paula Kajala.

Wawili hao wameonesha kusisimkia mapenzi yao huku wakithibitisha hadharani kwamba hawataachana.

Safari hii Rayvanny na Paula Kajala wameenda mbali kwa kuachia wimbo wa pamoja na kuelezea kuwa hawataachana huku video vixen akiwa ni Paula.
Cc; @sifaelpaul #globalpublishersupdates
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz