Lyyn: Sitaki Mwanaume Asiye Na Pesa - EDUSPORTSTZ

Latest

Lyyn: Sitaki Mwanaume Asiye Na Pesa

Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana na maisha yake pia na kusema aina ya mwanaume anayeweza kuwa naye.Katika mahojiano amefunguka haya;

“Mimi sitaki mwanaume asiye na pesa nataka mwanaume hata nikimuomba Million 10 ananitumia hapo hapo bila kuulizana maswali ya aina yoyote ile kwa kweli mwanaume asiye na hela hapa hatuwezani Nyumba niliyopanga zamani nilikua nalipa kodi shs Milioni 3 kwa mwezi nikahama hapo na nikahamia nyumba nyingine napo nalipa zaidi ya kodi ya zamani sasa sijajua ile nyumba ya zamani kama Harmonize analipa kodi ile ile kwa kweli sijui”-Ameongea Lyyn.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz