Licha ya Kuwa na Utitiri wa Magari Mwanamuziki Rock Ross Apata Leseni ya Kuendesha Baada ya Miaka 45 - EDUSPORTSTZ

Latest

Licha ya Kuwa na Utitiri wa Magari Mwanamuziki Rock Ross Apata Leseni ya Kuendesha Baada ya Miaka 45

 


Licha ya kujigamba kuwa na utitiri wa magari ya kifahari nyumbani kwake, Rapper Rick Ross hakuwahi kuwa ameruhusiwa kisheria kuendesha gari yoyote kwa kukosa leseni ya udereva.

Hivi sasa bosi huyo wa Maybach Music Group amepata leseni akiwa na umri wa miaka 45 baada ya kipindi cha karibu miongo mitatu kupita, ambapo ushawishi mkubwa amesema aliupata kutoka kwa Mama na Dada yake ambao walikuwa wakimsumbua siku zote kwasababu wao ndio walikuwa wakimuendesha mara kadhaa.

Rozay amef ungua hayo kwenye mahojiano yake hivi karibuni wakati akikitangaza kitabu chake kinachoitwa "The Perfect Day to Boss Up".





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz