Lengai Ole Sabaya Atinga Mahakamani Akiwa na Jezi ya Yanga


Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa na mamba moja katika kesi ya Uhujumu Uchumi namba 27 ya mwaka huu, amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa amevalia jezi ya Yanga.


Itakubukwa kuwa Klabu ya Yanga itachuana na mwamba wa soka Tanzania, Wekundu wa Msimbazi, Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii hapo kesho.
-
Sabaya na wenzake sita wapo mahakani kuendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri ulioanza Alhamis chini ya Hakimu Patricia Kisinda.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post