Kutana na Sunday Manara, Baba Yake Haji Manara Mtanzania wa Kwanza Kuwahi Kucheza Soka la Kulipwa Ulaya - EDUSPORTSTZ

Latest

Kutana na Sunday Manara, Baba Yake Haji Manara Mtanzania wa Kwanza Kuwahi Kucheza Soka la Kulipwa Ulaya
Mtanzania wa kwanza kucheza soka ya kulipwa Ulaya, kiungo mshambuliaji, Sunday Manara akimtoka beki wa timu pinzani wakati akiichezea SC Heracles ya Uholanzi. Manara mwenye umri wa miaka 67 sasa, aliichezea klabu hiyo kuanzia Desemba 1977 hadi Julai 1978 alipohamia SV St. Veit ya Austria, New York Eagles ya Marekani Al-Nasr ya Dubai baada ya awali kuchezea Yanga na Pan Africans za Dar es Salaam.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz