Je, Ni Halali Kumfananisha Ali Kiba na Diamond Platnumz? - EDUSPORTSTZ

Latest

Je, Ni Halali Kumfananisha Ali Kiba na Diamond Platnumz?


Kumekua na utata, wa miaka nenda Rudi, Kati ya mashabiki wa @diamondplatnumz na mashabiki wa@officialalikiba.

๐Ÿ‘‰ Mashabiki wa @diamondplatnumz wamekua ,wakisema @officialalikiba ,sio msanii wakumlinganisha na diamond, kwasababu Diamond, ameshafika mbali kimuziki, wanaamini kwamba alikiba ,sio level ya Diamond tenaa.

๐Ÿ‘‰ Baadhi ya mashabiki wa diamond wanasemaa , diamond alinganishwe na wasanii wakubwa njee ya Tanzania Kama vile @davido @wizkid @burnaboy .

๐Ÿ‘‰Wakati huo huo mashabiki wa @officialalikiba wamekua wakiamin ,kwamba ,alikiba ndio msanii mkubwa sanaa ambaye amedumu katika music industry kwa muda mrefu,bila kupotea kwenye game..

๐Ÿ‘‰ Mashabiki wa alikiba wamekua wakimuita Diamond,sadara . Wanaamini kwamba sadara bado ni mchanga katika MUZIKI,japo anamafanikio makubwa..

DIAMOND NA ALIKIBA WANATOFAUTIANA VIPI???

1.Katika Mitandao ya kijamii

๐Ÿ‘‰ Instagram, diamond anawafuasi million 13.2
Wakati, alikiba ana wafuasi million 7.3

๐Ÿ‘‰ YouTube Diamond ana subscribers million5.68 , wakati alikiba ana subscribers million 1.09

UTAJIRI NA MAFANIKIO

๐Ÿ‘‰Kwa data za tar.10july2021 diamond alikua na UTAJIRI wa dolla million 7.
Wakati alikiba ,utajir wake haukuwekwa wazi! Japo kuna data zinasema anautajiri wa Dola million 4.5.

๐Ÿ‘‰Katika mafanikio,bila kukaa upande wowote tunaona Diamond platnumz ana mafanikio makubwa kuliko alikiba , kutokana na Mali za kifahari anazo miliki..na mafanikio ya nyimbo zake anazotoa tunayaona..

JE NI YAPI MAONI YAKO ????


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz