Fred Vunja Bei "Tunazindua Jezi Zetu Tarehe Nne, Jezi Zetu ni Nzuri Unaweza Toka nazo Hata Mitoko" - EDUSPORTSTZ

Latest

Fred Vunja Bei "Tunazindua Jezi Zetu Tarehe Nne, Jezi Zetu ni Nzuri Unaweza Toka nazo Hata Mitoko"Mkataba wetu ndio mkataba mkubwa zaidi wa kutengeneza jezi Afrika Mashariki na Kati. Biashara ya jezi ni kubwa.

Hakuna design yoyote ambayo mpaka sasa imeonekana mtaani (hazijavunja), tunataka jezi yetu ionekane kwa machoni kwa watu kwa mara ya kwanza siku ya uzinduzi.

Uzinduzi utafanyika Jumamosi September 4 kuanzia saa 1:00-3:00 usiku. Kutakuwa na wageni walioalikwa, haitakuwa kwa kila mtu wengine watafatilia kupitia luninga na mitandao ya kijamii.

Jezi yetu ni nzuri tumeangalia mambo mengi, tumezingatia ubingwa, fashion ili mtu avae hata akitaka kwenda maeneo mengine.

Zitaanza kupatikana kwenye maduka ya Vunjabei siku hiyohiyo jezi zitakapozinduliwa.

- Fred Vunjabei [@fred_vunjabei]  

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz