Dully Sykes "Wadogo Zangu Wakinipa Connection ya Nje Nikafanya Kazi na Burna Boy Mmekwisha" - EDUSPORTSTZ

Latest

Dully Sykes "Wadogo Zangu Wakinipa Connection ya Nje Nikafanya Kazi na Burna Boy Mmekwisha"Dully Sykes amefunguka mengi kuhusu muziki kwenye mahojiano katika kpindi cha Bonga na Star na kuweka wazi mengi ambayo wasanii wa sasa anatamani wafanye lakini wanashindwa kufanya japo wao ndio wanausogeza muziki mbele .

Kwenye mahojiano hayo Dully sykes amesema Wadogo zake katika muziki wakimpa connection za kufanya Kolabo na wasanii wa nje wamekwisha .

" kuna vitu natamani wadogo zangu wafanye lakini wanashindwa kufanya wamebaki kurumbana japo wao ndio wanausogeza muziki mbele kiukweli wadogo zangu waendelee tu kuninyima hiyo connection wakinipa Burna Boy nifanye naye Collabo wamekwisha" Alisema Dully Sykes .Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz