DC Msando atangaza kukatwa Mshahara, ataja sababu - EDUSPORTSTZ

Latest

DC Msando atangaza kukatwa Mshahara, ataja sababu
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Milioni 2 na laki nane kati ya milioni tatu na laki moja kutoka kwenye Mshahara wake kama rejesho baada ya kukopa kiasi cha Shilingi milioni 106 katika moja ya taasisi ya Fedha ili kutengeneza vibanda vya Machinga.

“Mheshimiwa Rais aliona mimi inmpendeza kuniteua kuwa Mkuu wa Wilaya na mimi kama Mkuu wa Wilaya nikaona nikope benki kwa kutumia mshahara wangu wote kwa muda nitakaotumikia”- DC Msando
 
“Wakanipa Shilingi Milioni 106 nimekopa kwa niaba ya Machinga na katika pesa hiyo niliyoikopa na ndio nimekuja  kumalizia mabanda haya ya wamachinga, imani yangu ni kwamba Machinga lazima tumnyajue”- DC MsandoJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz