elru87tYGBGEm AFGHANISTAN: TALIBAN YAVUNJA MAANDAMANO WA WANAWAKE KUDAI HAKI - EDUSPORTSTZ

Latest

AFGHANISTAN: TALIBAN YAVUNJA MAANDAMANO WA WANAWAKE KUDAI HAKIMaafisa wa Taliban wamevunja maandamano ya Wanawake kadhaa huko #Kabul. Imeelezwa Wanawake hao walikuwa wanadai Haki ya kufanya kazi na kujumuishwa Serikalini

Kundi hilo limesema mabomu ya machozi yalitumika kuwasambaratisha wakati wakijaribu kutembea kwenda Ikulu ya Rais

Huu ni mwendelezo wa maandamano kadhaa ya Wanawake Kabul na #Herat. Wengi wana hofu hali itarejea kama iliyokuwa kati ya 1996 na 2001 ambapo Taliban walishika Madaraka
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz