Zuchu Aomba Ulinzi Kisa Ngoma Mpya Anayotaka Kuachia - EDUSPORTSTZ

Latest

Zuchu Aomba Ulinzi Kisa Ngoma Mpya Anayotaka Kuachia


Wiki Kadhaa Zilizopita Msanii @officialzuchu Alishare Video Yenye Kionjo Cha Ngoma Yake Mpya Akiwa Studio Na Hii Kuwafanya Mashabiki Wa Muziki Wake Kisubiri Kwa Hamu Kubwa.

Mapema Leo #ZUCHU Ameeleza Kuhusiana Na Ujio Wa Ngima Yake Mpya Ambayo Bado Hajaitambulisha Rasmi Huku Mashabiki Wakitafsiri Huenda Ni Ngoma Ya Ile Video Ambayo Alipost Wiki Kadhaa Nyuma, Kupitia IG Yake #ZUCHU Amejitapa Kuwa Ngoma Hiyo Ambayo Anakwenda Kuiachia Mwezi Huu Itakua Ni Ngoma Kubwa.

Kupitia IG #ZUCHU Ameandika.........''GOMA NALOENDA KUACHIA 🙌🙌🙌😩😷☹️😒 NAOMBA KUONGEZEWA ULINZI AKI VILE LINAEZA KUHATARISHA MAISHA YANGU 🥵🥵🥵🥵 🔥🙌🔥🔥🔥🔥 TAREHE 21/08/2021 PATAKUA HAPATOSHI''

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz