Zitto Kabwe, Sugu na wanasiasa wengine walivyofika Kisutu kusikiliza kesi ya Mbowe - EDUSPORTSTZ

Latest

Zitto Kabwe, Sugu na wanasiasa wengine walivyofika Kisutu kusikiliza kesi ya MboweLeo agosti 6 2021 ilikuwa siku ya kusikilizwa kesi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe na wenzake watatu katika mahakama ya Kisutu baada ya jana kushindikana kutokana na tatizo la mtandao kwani kesi hiyo ilitarajiwa kufanyika kupitia mtandao.

Majira ya saa tatu asubuhi ndio ilianza kusikilizwa baada ya washitakiwa kufikishwa mahakamani kama mahakama ilivyotaka siku ya jana .

Wana Siasa mbalimbali wa vyama vya Upinzani akiwemo Zitto Kabwe na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi alimaarufu Sugu walivyofika Kisutu.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz