Wizkid avunja rekodi ya mauzo tiketi huko London - EDUSPORTSTZ

Latest

Wizkid avunja rekodi ya mauzo tiketi huko London

Mkali kutokea Nigeria, Wizikid ambae time hii amechukua Vichwa vya Habari baada ya kuutaarifu umma kumalizika mapema kwa tiketi za show yake inayotarajiwa kufanyika Uingereza.
Show hiyo inatarajiwa kufanyika mnamo 26th Novemba 2021 katika ukumbi wa 02 London Arena ambao uingiza watu zaidi ya Elfu 2o.

Staa huyo alithibitisha Taarifa hizo za kumaliza kwa tiketi za show yake kupitia Instagram ambapo aliandika…….”Sold out the O2 in 12mins!! Love u london!! 🖤❤️🦅” ✍…”.@wizkid”

Na miongoni mwa nyimbo zake zinazofanya vizuri kwasasa kwenye charts mbalimbali ni huu uitwao Essence aliyomshirikisha Tems ambao kupitia mtandao wa Youtube umetazamwa na watu zaidi ya 19,206,422


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz