Unaambiwa Hii Ndio Idadi ya Watu Waliokwisha Chanja Chanzo Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Hii Ndio Idadi ya Watu Waliokwisha Chanja Chanzo Tanzania


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi amesema kati ya watu 164,500 waliojiandikisha kupata chanjo ya Corona, 105,745 tayari wameshapata chanjo hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Prof. Makubi, hiyo ni tathmini iliyofanyika kuanzia Agosti 28 chanjo hiyo ilipozinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hadi kufikia jana Jumamosi Agosti 7, 2021.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz